Sasa itakuwaje 😁
Karibu kila kitu cha kisayansi unachokitumia sasa hivi kimetokana na jamaa aliyeko hapa. Inaaminika hili ndilo kusanyiko la watu wenye akili lililowahi kutokea katika uwanja wa Sayansi....
Kabisa
mimi nakata hata siku tatu ndani na madirisha yakiwa yamefungwa 😂😂
Yeah!Kabisa
Naamini ni kwenye uwanja wa dunia kwa ujumla hawa jamaa waligusa kila sekta mkuuuKaribu kila kitu cha kisayansi unachokitumia sasa hivi kimetokana na jamaa aliyeko hapa. Inaaminika hili ndilo kusanyiko la watu wenye akili lililowahi kutokea katika uwanja wa Sayansi....
Huna majirani?mimi nakata hata siku tatu ndani na madirisha yakiwa yamefungwa 😂😂
Kama countrywide 😅😅😅😅 noma sana aseeYeah!
Watu siyo wazuri...
Ukianika tu mambo yako wanaanza kukulia timing. Angalia tu, kwa mfano, kinachowapata watu wanaoanika pisi zao mitandaoni....
Akuu daddy connection si nzuri ujue…bora niitengeneze mwenyeweNikupe connection binti yangu?
Za miezi? 🖐🖐🖐
Ni huzuni sana 😔😔Yeah!
Watu siyo wazuri...
Ukianika tu mambo yako wanaanza kukulia timing. Angalia tu, kwa mfano, kinachowapata watu wanaoanika pisi zao mitandaoni....
Naamini ni kwenye uwanja wa dunia kwa ujumla hawa jamaa waligusa kila sekta mkuuu
1.umeme
2.technologia
3.mechanics yaani duuh ni full shida asee theory zao zimenitesa sana A level 😩😞😣😭
Simshangai..nikiwa mjini wiki mzima najifungia ndani sifungui hata mlango achilia mbali gate.Huna majirani?
Huyu newton funga kazi nimeanza kumsoma class 5 kwenye forces mpaka namaliza form 6 nipo nae tu 😭😭😢😢 duuh nikasema ngoja nim hame nilipokuwa chuoRelativity na Quantum Mechanics...kila kitu yaani from the big things (universe, galaxies, stars, blackholes, supernovae...) to the small ones (nano particles, dark matter, dark energy, photons, planks, radioactivity...) jamaa wako hapo....
Angekuwepo na Isaac Newton na James Clark Maxwell basi list ingekamilika....