Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu newton funga kazi nimeanza kumsoma class 5 kwenye forces mpaka namaliza form 6 nipo nae tu 😭😭😢😢 duuh nikasema ngoja nim hame nilipokuwa chuo

Jamaa ni another level asee huyo maxwell simkumbuki vizuri 😁😁😁
James Maxwell equations ndiyo zilionyesha kwamba umeme na sumaku ni kitu kile kile na ndizo ziliweka misingi ya mashine na injini zote za kisasa zinazotumia umeme.

Wanasema ukiachilia mbali likitabu la Isaac Newton PRINCIPIA, Maxwell Equations pengine ndiyo andiko linalofuatia kwa umuhimu wake katika uwanja wa sayansi...halafu yanafuatia maandiko ya yule kijana karani wa kawaida tu katika ofisi ya hatimiliki aliyeishangaza dunia mwaka 1905 alipochapisha makala tatu zilizoibadilisha dunia kiasi kwamba mpaka leo mwaka 1905 unajulikana kama mwaka wa miujiza katika sayansi.
 
😂😂
0fgjhs41cvu54hh5m.jpg
 
Ooooh maxwell nimekumbuka sasa si mambo ya maxwell cork screw rule na ma left hand rule

Sawasawa electromagnetism niliikimbiaga form 4 nikakutana nayo form 6 ilinibidi tu niipige 🥵🥵🥵🥵 huyu maxwell nishampata

Hiyo ya 1905 ilikuwa noma sana hats off 🎩👏👏 kwake mchizi relativilty nimeitumia sana kwenye topic nyingi za physics asee

Alafu Einstein alikuwa mpenda papuchi balaaa 😅😅😅😅😁😁
 
Ooooh maxwell nimekumbuka sasa si mambo ya maxwell cork screw rule na ma left hand rule

Sawasawa electromagnetism niliikimbiaga form 4 nikakutana nayo form 6 ilinibidi tu niipige huyu maxwell nishampata

Hiyo ya 1905 ilikuwa noma sana hats off kwake mchizi relativilty nimeitumia sana kwenye topic nyingi za physics asee

Alafu Einstein alikuwa mpenda papuchi balaaa

Papuchi itabaki kuwa papuchi tu haina mpinzani hapa duniani....

Wakati alipomuoa cousin wake alikuwa na mchepuko pia. Barua zake za mapenzi kwa huo mchepuko nadhani ndiyo zimekuwa declassified sasa hivi...

Isaac Newton ndiyo wanasema hakuwahi kudeti na mwanamke mpaka wanamsingizia kwamba pengine alikuwa si ridhiki....
 
Back
Top Bottom