Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Asante sana mkuu...wala hata usijutie mzee wangu, body count kubwa inakuja na risk zake....
Eti mpaka huwa najilaumu...
Kwamba sikula maisha inavyopaswa!
Kumbe kawaida tu
Mungu ni mwema!
