Huyo mwamba wa hesabu namsoma sana Nakumbuka nilvyokuwa A level kuna kitabu fulani hivi cha pure mathematics(s. Chand) kwa mbele kimeekwa picha yake alafu kinaelezea alivyoenda england na kuchukua tax lakini plate number ya taxi ilikuwa 1729 zile letters nimesahauMbali na kuweka misingi ya Optics, Gravity na mambo mengine, muda huo pia ndiyo aliutumia kugundua Calculus....japo kuna mzozo mpaka leo kuhusu mgunduzi hasa wa Calculus kati yake na mwamba mwingine wa kuitwa Leibniz....
Hawa ni watu wa kipekee ambao Mungu huwaleta ili kufungua njia mpaka watu wa conspiracies wanadai kwamba pengine hawakuwa binadamu wa kawaida bali aliens waliotumwa kuja kumsaidia binadamu kupiga hatua katika sayansi na teknolojia...Na wengine wanadai kwamba kila binadamu ana uwezo huo kama tu akiweza kujifunza jinsi ya kutumia inner power na ubongo wake sawasawa....
Imagine kama huyu mwamba kutoka India aitwaye Srinivasa Ramanujan. Huyu alijifundisha hesabu mwenyewe na hakusoma lakini aliishangaza dunia kwa ujuzi wake wa hesabu mpaka kufikia kuwekwa level moja na miamba katika taaluma hiyo. Mpaka leo kuna mzozo kama hili linawezekana kwa binadamu wa kawaida. Japo alikufa akiwa na miaka 32 tu (kuna tetesi kuwa aliuliwa maana uwezo wake wa hesabu ulikuwa unatisha) lakini ameacha alama ya kudumu katika Hisabati....
Hii ndoa haitakaa ife!
Yaani ila kwani kinauma kitambi 😂😂😂😂Mideko nakuona kwa mbaali 😁😁😁😁😁😁😁😁View attachment 2614846
Sema nyie wenye vitambi mnakuaga na joto fulani hivi 😜😜😋😋😋😋.Yaani ila kwani kinauma kitambi 😂😂😂😂
Ni wachapakazi sanaWanigeria wana nyota kali sana sijui kwann aseeee View attachment 2614839
Sema nyie wenye vitambi mnakuaga na joto fulani hivi.
Ile minyama personalyy naipendeaga sana
kitambi = mtindi hapo inakuwa bien![]()
Hapa sipingi mkuuu ila ni very exceptional hawa watu yaani wao wanachoangalia ni fursa tu sijui kwa vile ncgi inawasomi wengi jobless hivyo watu wanajiongeza sana aseeNi wachapakazi sana
Wanajiamini
Wana exposure na Kimalkia kinapanda
Wanasaidiana na kushirikiana
Nyimbo zao ziko unique...mdundo fulani hivi unaowatambulisha....