Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nimemuona mliyetaka kuzusha ni mie 🤣🤣
Lenie
Basi asbh nikashtuka. Huu uzi nimekomenti saa ngapi? Kumbe sio mie 🤣🤣
CAF02DEE-55BB-4774-B917-248A09C25566.png
 
Kweli siku naona hiyo id nilishtuka, nikasema kibungo kaanza lini matipo 😂

Mmoja abadili avatar, msituvuruge
nkakisali2 😂😂😂 ndugu emu njoo kidogo.
Na anaandika habari za R City. Nyieeee 🤣🤣

Basi Beshtie. Alinambia kuna jambo analifatilia, akikamilisha atanambia. Nikambana aniambie, akanikazia hiyo Siku. Nikamuacha baada ya siku mbili nikamrudia, si ndo kuniambia na yeye mambo za hii ID 😂😂😂
 
Back
Top Bottom