Kuimba wimbo na hicho ki airport chake vimehusikaje🤣
Na kitiki chake cha Blue, hawezi hata jibishanaNilikusikia mahali ukisema kwamba tangu ujiunge JF hujawahi kulimwa ban. Hii yaweza kuwa ndiyo nafasi yako mojawapo ya kutesti zali la ban kama unataka 😁😁😁