Kwamba mkienda Kasablanka mtapigwa mpaka mchakae 😁😁
Kwamba mkienda Kasablanka mtapigwa mpaka mchakae [emoji16][emoji16]
View attachment 2597835
Mzabzab akioa kwenye hii familia wamekwisha!Mama mlee mwanao[emoji39]View attachment 2597833
Watu wamekojoa pazuri aseeeeKongole kwake. Alibadilisha dini. Akaachana na Uslei kwini. Akaolewa...na sasa ni mama. Safi sana!
View attachment 2597679View attachment 2597680View attachment 2597681
Aisee kumbe ana mtoto mzuri hivyo jamani na hamsemi....tanga kuzuri jamani. Ni mdigo huyu mama?Mzabzab akioa kwenye hii familia wamekwisha!
Alafu wee kumbe unapenda wanawake white colour🤣🤣🤣🤣