Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230424_154407_129.jpg
 
nkakisali2 😂😂😂 ndugu emu njoo kidogo.
Na anaandika habari za R City. Nyieeee 🤣🤣

Basi Beshtie. Alinambia kuna jambo analifatilia, akikamilisha atanambia. Nikambana aniambie, akanikazia hiyo Siku. Nikamuacha baada ya siku mbili nikamrudia, si ndo kuniambia na yeye mambo za hii ID 😂😂😂
Kwakweli aje aseme neno na yeye kaitoa wapi hIyo avatar
Halafu wadau tutapiga kura kama mmoja wenu abadili au ikishindikana basi wote muitoe mtafute avatar nyingine, msituchoshe sie 😂
 
Back
Top Bottom