Nikikukuta mbinguni natoka nduki nikijua kuwa ama ni mtego au nimekosea njia. Nitakwenda zangu kutafuta mbingu yenye mayutong huko angalau nipoze moyo 😁
Utapata tabu sana 😊😁😬😬😬Nadhani inaweza kusaidia kidogo, japo inakera sana.
Hapana Aisee,ngoja tumuachie ujinga wake huyo memberNilikusikia mahali ukisema kwamba tangu ujiunge JF hujawahi kulimwa ban. Hii yaweza kuwa ndiyo nafasi yako mojawapo ya kutesti zali la ban kama unataka 😁😁😁
We motoni kutakua na vibe.
Aliletewa leseni Bar
Upo sahihi, yeye huwa anasuta tu kwa kweli na hamna ahubiricho.Ndo maana hata yeye anazitafuta kwa kukoroma mimbarini na mipasho yake (siyo Injili) ili watu watoe sadaka?
Picha nimeipenda tafsiri imenipiga chenga
Mwanaume pia anaweza kuomba kazi hiyo ili akabonyeze bonyeze makalio ya wanaume wenzake?