Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,149
[emoji4]
Google ni jauUsibishane Kamwe na Watoto
Msichana mdogo alikuwa akizungumza na mwalimu wake kuhusu nyangumi. Mwalimu alisema haiwezekani kimwili kwa nyangumi kummeza binadamu kwa sababu ingawa ni koo kubwa sana la mamalia ilikuwa ndogo sana. Msichana mdogo alisema kwamba Yona alimezwa na nyangumi. Akiwa amekasirika, mwalimu alirudia kusema kwamba nyangumi hawezi kummeza binadamu, haiwezekani kimwili. Msichana mdogo akasema, "Nikifika mbinguni nitamuuliza Yona. Mwalimu akauliza, "Je! Yona angeenda kuzimu" Msichana mdogo akajibu.
View attachment 2529104
Unaweza ukanktumia ?!
Bro acha tu achaHivi inakuaje mwanaume unasakaziwa mtoto!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!
Hua inakuaje yani! Kua mwanamke anakuchukuliaje mpaka anakufanyia kitu kama hicho!Bro acha tu acha
Mi sitaki hata kuongea hapa maana ndoa za watu wengi ni uozo asee
Kweli kabisa wanatuzaaje bila ridhaa yetu alafu wao wnakuwa hawajajipanga kuhakikisha tunaishi maisha safi.
Yaaani sielewi hawa watu wanafikiria nn ila in short never ever trust a woman. Bro utaliwa vibaya sana mkuuuuu. Yaani gonga sepa ukieka strings eti ni mtu mzuri ooooh hooo sijui mtu wa Mungu utaliwa mkuuHua inakuaje yani! Kua mwanamke anakuchukuliaje mpaka anakufanyia kitu kama hicho!
Simulizi Fupi #1 | Ukweli wa MaishaUkweli wa Maisha
Hii napendekeza iwe vazi la bibi harusi ili aonyeshe ameshatumia condom ngapi mpaka amefika kufunga ndoa
Finaly tumeanza kutumia akili zetu vizuriWapewe na leseni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] walipe kodiView attachment 2528860
Ukweli mtupu
Alafu hawa wanawake ndio waende mbinguni....hapana aisee hawa ni wa motoni tuu. Bantu LadyReporting LiveView attachment 2529428
Kwani nanyinyi mnatufanyiaga mangapi, makubwa ya kutisha... umesahau mauaji ya kinyama eeh.Alafu hawa wanawake ndio waende mbinguni....hapana aisee hawa ni wa motoni tuu. Bantu Lady
Tatizo hamna shukrani na mna roho mbayaKwani nanyinyi mnatufanyiaga mangapi, makubwa ya kutisha... umesahau mauaji ya kinyama eeh.
Si bora huyu bado anapumua, na alipotoa figo waliwekeana mkataba gani? mzabzab