[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2529157
Sipati picha umelala nae, alafu akakulalia kifuani au kwenye bega! [emoji1787][emoji1787] Hao mba wanaweza wakakupa TB
Hivi inakuaje mwanaume unasakaziwa mtoto!!?Daaah kataa ndoa gang mpo
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wote hawajamfiki huyu mama angu! Alikua akikupa kibano kuna mda ana kung'ata kwenye paja ananyanyuka na wewe bila kukushika mahala anakutikisa huku na huku kama mamba anavyo wafanyaga pofu wakijichanganya anakurushia huko! Kha alikua anagawa dozi balaa! Ila sasa hivi nikimuadhibu mjukuu wake tena kwa kumpapasa hiyo vita haiishi mwezi mzimaMana kama mama View attachment 2529254