Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

333226789_749853913421347_4064157641858471193_n.jpg
 
Ia
Yaaani sielewi hawa watu wanafikiria nn ila in short never ever trust a woman. Bro utaliwa vibaya sana mkuuuuu. Yaani gonga sepa ukieka strings eti ni mtu mzuri ooooh hooo sijui mtu wa Mungu utaliwa mkuu

Kaa chonjo
Nina vijana wawili tayari na sina dought nao kabisa tangu utungaji wa mimba zao na hata walipo zaliwa! Nimefanana nao kwa asilimia kubwa pia hata wao wanafanana sana! Mbali na hivyo wana character nyingi za kufanana kabisa achilia mbali mama zao ni tofauti!
 
Ia Nina vijana wawili tayari na sina dought nao kabisa tangu utungaji wa mimba zao na hata walipo zaliwa! Nimefanana nao kwa asilimia kubwa pia hata wao wanafanana sana! Mbali na hivyo wana character nyingi za kufanana kabisa achilia mbali mama zao ni tofauti!
Hapo sawa
 
Back
Top Bottom