M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,093
- 19,168
Sana, useless.Google ni jau
Sana, useless.Google ni jau
Sasa vuta picha picha mama wawili watoto wawili na ukiwaona huulizi! Inakuaje mtu analea mpaka watoto watatu na si wake kama sio kuonyesha wewe ni zuzuta la aina gani! Mwanamke akisha jua wewe ni zuzuta juha mmoja ndio anapata nafasi ya kukupaka matope na [emoji90] kadiri awezavyo!Hapo sawa [emoji317]
Hii itakua hatari sana....Watafutiwe TIN NO mapema tyView attachment 2529803
Igwe mr [emoji383]Sasa vuta picha picha mama wawili watoto wawili na ukiwaona huulizi! Inakuaje mtu analea mpaka watoto watatu na si wake kama sio kuonyesha wewe ni zuzuta la aina gani! Mwanamke akisha jua wewe ni zuzuta juha mmoja ndio anapata nafasi ya kukupaka matope na [emoji90] kadiri awezavyo!
Ishini nao kwa akili nao wataishi nanyi kwa upendo! Umeona shida ilipo mzee! Usipo kua na akili ukae ukijua swala la kukaa na mwanamke ni msiba wa aibu sana unaweza ukajiua kwa fedheha, sasa wewe jichanganye ukampenda wakati c jukumu lako kupenda
Hahaha dsaaaaah aiseee.