Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,995
- 35,440
Oooowh'yiiiieeaaah! KhaamooooN!
Bado [emoji16][emoji16]
View attachment 2424730
Na wale was michango wa ujenzi wa misikiti wanatembea na makaratasi[emoji16]Wamezidi,wanakera sana. Afu kuna wale wanatembea na mikaratasi sijui imesainiwa na nani huko wanaomba mchango wanaumwa hawa nao ni wale wale huwa nawatoa nduki.
Tusiwape kama njaa mnunulie andazi si kumpa pesa[emoji16][emoji16]kwahiyo tukubaliane hamna kuwapa pesa!! Hata sisi tuna shida zetu kibao zinahitaji pesa na hatuna!