Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,041
🤣🤣🤣 kwa msisitizo tenaaWatu wanataka utu na utulivu
Ila mpingo 🙌
🤣🤣🤣 kwa msisitizo tenaaWatu wanataka utu na utulivu
Mpingo katika ubora wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa msisitizo tenaa
Ila mpingo 🙌
Hao huwa siwapi hata 50, ni matapeli. Kuna baba hivi mara kibao nakutana nae anaomba nauli hadi anasahau watu anakuomba kwa mara ya pili, ya tatu na sababu ni zile zile hadi tushamkariri. Siku hizi nikimuona namtoa baru.
Naomba 55k nikamasajiweHii namba 9 sii u aweza piga mpaka u akojowa upepo
Yaan ana shida afu anakua mkali? Nawapenda sana watu wa hivyoKuna kadada kalinikuta lumumba kanadai nikaelekeze magari ya kwenda mbweni halafu kakasema kamebaki na 600 tu kwahiyo nikaongezee kidogo ,
Moyo wa kumuongezea nilikuwa nao tatizo maswali hakutaka kuyajibu maana alidai hapo kachoka na hajisikii kwenda kokote,
Mwishoni namnunulia hata maji Kwanza hataki badae kakapanic eti kama siwez kusaidia nisimpotezee mda .
Maswali hakutaka kuyajibu inavyotakiwa akaona hapa hela hamna eti hajui yuko wapi mara wenyeji wake hajui walikoelekeaYaan ana shida afu anakua mkali? Nawapenda sana watu wa hivyo
Hao ndio matapeli wenyewe, mm huwa nawatoa nduki.Maswali hakutaka kuyajibu inavyotakiwa akaona hapa hela hamna eti hajui yuko wapi mara wenyeji wake hajui walikoelekea
Mtajua wenyewe ila sisi tulisha ipiga na kasia na ikafungua! Bhasi! Mbona ndege yenyewe imelegea kama nanihii yaTunaanza upyaaaaaaaView attachment 2425072
hawa jamaaTanzagiza