TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,483
Tushapigwa ndoige sijui takeu ya koromeo utajua mwenyewe mate uteme au uyameze ila K.O refa kesha izinisha
Tushapigwa ndoige sijui takeu ya koromeo utajua mwenyewe mate uteme au uyameze ila K.O refa kesha izinisha
Njoo uichukue huku gheto mpesa yangu haina hela na nipo hapa kwa kochi nasubiria game la germanyNaomba 55k nikamasajiwe
Jirani unataka ushauri upi, wa mapenzi, au maisha?
Yote jirani.Jirani unataka ushauri upi, wa mapenzi, au maisha?
Wa mapenzi fungua pm Jirani...Yote jirani.
Wa mapenzi halafu utamalizia na wa maisha maana baada ya yote lazima maisha yaendelee jirani
Ndio maana nimepost hapa, sasa mambo ya pm yanatoka wapi tena jiraniWa mapenzi fungua pm Jirani...
Wa maisha njoo nyumbani niwe motivation speakers wako Jirani...
Nishakupa ushauri Jirani angalia vizuri..Ndio maana nimepost hapa, sasa mambo ya pm yanatoka wapi tena jirani
Nipe ushauri hapa jirani yako, huwezi jua utanifaa namna gani
Thank you jirani, ushauri mzuri sana wacha niishi humo.
Nimeuona jirani, asante sanaNishakupa ushauri Jirani angalia vizuri..
Sii tumehalalisha watu kudanganya vyeti ili wapate kazi, haya majaliwa kadanganya kuwa kaomoa na kapata kazi🤣🤣🤣🤣🤣Tunaanza upyaaaaaaaView attachment 2425072

























mapenzi ya mitandaoni bhana 



kimyakimya tu watu wanapitaTuma nauliNjoo uichukue huku gheto mpesa yangu haina hela na nipo hapa kwa kochi nasubiria game la germany
Wanapitaje?mapenzi ya mitandaoni bhana
kimyakimya tu watu wanapita
Natumaje wakati mpesa hamna salio. Wee panda boda ukifika namlipaTuma nauli
Ngoja nifikirieNatumaje wakati mpesa hamna salio. Wee panda boda ukifika namlipa
Kama hivi mdadaWanapitaje?
