Tupo tupo, tunakimbiza Shillingi isiyokamatika.Umepotea yaani mpaka siyo poa. Natumaini kila kitu kiko salama.
Siku hizi ni maingiliano na hakuna kitu cha majuu tena. Ni vurugu tupu!
Aids and other stDs be like [emoji39][emoji39]Mbali na kaswende, hapa hata mimba ikiingia ni jukumu lake 100% [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2424618
Kwa kweli hakuna mtu alitegemea kama Saudi Arabia angetoboa mbele ya Argentina hata wao wenyewe hawaamini acha tu wapumzike kwanza kama taifa[emoji16][emoji16]
Kama taifa tushindwe tu kutajirika aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Tena!
Tumemaliza majadiliano na Ujerumani, wameipatia Tanzania Msaada wa TZS 209,746,204,779.00 kwa ajili ya kusaidia masuala ya sekta ya Afya, Maji, Uwezeshaji wa wanawake,Ulinzi wa bioanuwai,kuzuia rushwa, mfumo wa Kidijitali,kuunganisha kaya na maji ya kunywa na usafi wa Mazingira.View attachment 2424678
Mbali na kaswende, hapa hata mimba ikiingia ni jukumu lake 100% [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2424618