Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji23][emoji23][emoji23]Waliambiwa wajiendeshe wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2362716
[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shikamoo wabongo[emoji119][emoji119][emoji23][emoji16][emoji75]View attachment 2361798
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Post sitaki hata ku- likeNafikiri mheshimiwa alikuwa wa kwanza kupanda gari ili akae dirishani tuView attachment 2361842
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo nimekosa? Acha uhuni we msukuma nasubiri zawadi yanguNilitaka nitangaze zawadi ila nikajua kuwa hutapatia [emoji16][emoji16][emoji16]
Don't take life too seriously, we all know thatTuache upotoshaji pale Uingereza msibani kulikuwa na wageni zaidi ya 500 ambao ni VIPs kiprotokali kuwasafirisha kila mmoja na msafara wake isingekuwa rahisi kwa sababu ya muda;usalama,gharama na pia nguvu kazi. Hata familia ya malkia ilipanda mabasi na viongozi mbalimbali wa nchi duniani. Sasa kupotosha kwamba wamedhalilishwa si kweli kwani ile sio safari ya kiofisi ni msiba.Biden alisafiri na magari yake yanaitwa the beast
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prophet Odumeje kamtandika shetani kwa K.O [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2362242
Baba yangu siku nilimuomba kadi yangu ya kliniki
Hao hao mkuu, tunatafuta dereva wa kkoo kwenda kwa mpalange kumbe wapo hawasemi.
Kumbe unafikiri nani ana haja nao ? Walipewa daladala lao hapo wakaanza kuulizana nani anakumbuka kuendesha ? Ndo mzee wa watu akaweka skafu pembeni akashika chuma mpaka msibani.Inamaana walikabidhiwa bus kama bus bila dereva[emoji3064]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waliambiwa wajiendeshe wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2362716
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sorry kakaMuone haraka ya kuchapa mpaka umechapia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mie nachukua B
Aisee hawakutendewa haki.Kumbe unafikiri nani ana haja nao ? Walipewa daladala lao hapo wakaanza kuulizana nani anakumbuka kuendesha ? Ndo mzee wa watu akaweka skafu pembeni akashika chuma mpaka msibani.