[emoji23][emoji16][emoji75]View attachment 2361798
Mmmmmmh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2362072
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afrika ni shida. Ila utaona jamaa wakirudi. Msafara una ma vieite 100+ [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2362079
Mara paa akawahi seat ya dirishani 😂😂
[emoji38][emoji38][emoji38]Mara paa akawahi seat ya dirishani [emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Huku wanatuona Kama mbuzi tu..kimbe nawao Ni mbuzi huko ulaya.. Asante mzungu
Duh!Mara paa akawahi seat ya dirishani 😂😂
Tuache upotoshaji pale Uingereza msibani kulikuwa na wageni zaidi ya 500 ambao ni VIPs kiprotokali kuwasafirisha kila mmoja na msafara wake isingekuwa rahisi kwa sababu ya muda;usalama,gharama na pia nguvu kazi. Hata familia ya malkia ilipanda mabasi na viongozi mbalimbali wa nchi duniani. Sasa kupotosha kwamba wamedhalilishwa si kweli kwani ile sio safari ya kiofisi ni msiba.Biden alisafiri na magari yake yanaitwa the beast