B na F...@mzabzqb stand up🧍View attachment 2362576
Wanabipu waone kama watu watatulia ama la!Bado ni upuuzi tu, mzunguko mkubwa unaopigiwa kelele ni wa walala hoi yaani wananchi wa kswaida kabisa ambao wana deal na transactions za simu
Huo ujinga wa mambo ya mabenki watajuana wenyewe marekebisho yao
Ni hawa unawaongelea au wengine?Kumbe wanajua kuendesha daladala kabisa, alafu wanakaa kimya
Misafara ya kutoka Eapoti itakuwa na ma-vieite hata 100 ili kufidia aibu hiyoWakirudi nchini kwao watapiga kimya kama hawapo vile kwanza kwa aibu waliyopata huko
Inamaana walikabidhiwa bus kama bus bila dereva

Waliambiwa wajiendeshe wenyeweInamaana walikabidhiwa bus kama bus bila dereva![]()


