Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nilitaka nitangaze zawadi ila nikajua kuwa hutapatia [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilitaka nitangaze zawadi ila nikajua kuwa hutapatia [emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee wa kazi ulikuwa wapi leo!??..mbn hii mada ishatrend sana tangu asubuhi kiukweli sijapenda walichofanyiwa viongozi wetuView attachment 2362065
Afrika ingekuwa na mipango kama ya wazungu hivi leo kusingekuwa na Mafoleni ya kusubiri viongozi wapite .
Hebu angalieni jinsi wanavyotusumbua huku na Jinsi walivyokusanywa huko Ulaya
Mbona wengine wameenda hukohuko msibani ila wameenda na hizo "mansions" zaoMsibani mkuu, lazima wawe na humility. Ki bongo bongo watu wanalala chini ili hali wameacha mansions zao
Malezi mabaya tuMbona wengine wameenda hukohuko msibani ila wameenda na hizo "mansions" zao
[emoji38][emoji38][emoji38]Malezi mabaya tu
Ni uchambuzi tu baada ya habariMzee wa kazi ulikuwa wapi leo!??..mbn hii mada ishatrend sana tangu asubuhi kiukweli sijapenda walichofanyiwa viongozi wetuView attachment 2362069