Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Speedo [emoji91][emoji91][emoji91]
🤣🤣Wazee wa kushonaView attachment 2361649
🤣🤣Make sure[emoji16][emoji23]View attachment 2361778
Duh..Panya road wa kizunguView attachment 2361843
Aisee..Utaratibu ulivyokuwa View attachment 2361845
Economic muscle matters 😊
mzabzab kuna wahitaji wa 3sum huku😊[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2362072
🤣🤣🤣Afrika ni shida. Ila utaona jamaa wakirudi. Msafara una ma vieite 100+ [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2362079
Wakija huku wanatufanya sisi mbuziHuku wanatuona Kama mbuzi tu..kimbe nawao Ni mbuzi huko ulaya.. Asante mzungu
[emoji16]kuna tofauti kubwa mjakazi akienda kwa boss na boss akienda kwa mjakaziView attachment 2362065
Afrika ingekuwa na mipango kama ya wazungu hivi leo kusingekuwa na Mafoleni ya kusubiri viongozi wapite .
Hebu angalieni jinsi wanavyotusumbua huku na Jinsi walivyokusanywa huko Ulaya
Tena na nafasi ya kuweka picha imebaki [emoji2][emoji2]
Nipe location mzeyamzabzab kuna wahitaji wa 3sum huku😊
Kalamu yangu pendwaSpeedo [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2362240
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza vunja toto la mtu[emoji1787][emoji1787]
Inahitaji mazoezi au awe mwana sarakasi
Kiukweli viongozi wa Kiafrika ni majanga. Sasa kama inawezekana kubana matumizi, kwa nini wanatutesa wananchi wao kwa misafara yao mirefu isiyo na tija, na matumizi ya magari ya kifahari!!View attachment 2362065
Afrika ingekuwa na mipango kama ya wazungu hivi leo kusingekuwa na Mafoleni ya kusubiri viongozi wapite .
Hebu angalieni jinsi wanavyotusumbua huku na Jinsi walivyokusanywa huko Ulaya