Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,822
- 18,062
D
Duu! Polisi wameibiwa?!Nchi nzito hii. Kwamba mtu anapanga kwenda kwenye ofisi ya DPP kuiba, tena 'computer' zote? Mkurugenzi wa mashtaka au DPP yupi? Ofisi ya DPP inalindwa na ulinzi mzito. Wanaingia na kuondoka vipi na desktop? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!View attachment 1236772View attachment 1236773
? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!
