Hii ishanikuta kabisaa jamani!!
Nabembeleza mtu kumbe kaachwa hukoo!! Bichwa lake
Asante sana shem. Umepona mafuriko?!Pole sana shem
Asante sana shem. Umepona mafuriko?!
[emoji41][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Sasa hapa nakula wapi kuzimu au akhera? [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiskia mtu kaganda kwa mchepuko! Usiulize[emoji116][emoji116][emoji116]inahusika
View attachment 1237448
Mungu ni mwema sana jamaniShem nimepona sijaenda mimi
Nasikia kwenu ni balaaMungu ni mwema sana jamani
Daaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa mduanzi sanaaa
Raju sio silencer bwanaSilencer
Nyumba zinaelea shemNasikia kwenu ni balaa