monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,621
Noma sana!
Huwa yanatokeaga haya jamani!Hahaha aise kumbe huwa inatokeaga kweli...pole sana mdadahope imepita umemsahau jamaa, au bad yupo kwa head yako...

Wameshauza figo moja ili kununua iphoneIPhone user wamepeleka wapi figo moja?? View attachment 1230143
Alikuwa kama rafiki si rafiki. Urafiki wetu ulipitiliza akawa kama ndugu. I miss her so much!!!!!Duh mama Saki alikua mdogowako???
Shikamoo mkuu
Ipi inakatazwa?Ndiomana inakatazwaView attachment 1232021
Kuna wakati huwa nafikiria hii kauli ilishushwa kwa ajili ya kizazi hiki cha sasa aisee!Vijana wanapotea kwa kukosa maarifa.
Hakika Mkuu! Ila kazi ipo.Kuna wakati huwa nafikiria hii kauli ilishushwa kwa ajili ya kizazi hiki cha sasa aisee!
Alikuwa kama rafiki si rafiki. Urafiki wetu ulipitiliza akawa kama ndugu. I miss her so much!!!!!