Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
wale wanaoshangilia ndege mpyaMnyonge ndio nani
wale wanaoshangilia ndege mpyaMnyonge ndio nani
Kama serikali inaibiwa tena ofisi ya DPP je sisi raia? tuendelee kumwomba mungu maana amekaribia kurudi.Nchi nzito hii. Kwamba mtu anapanga kwenda kwenye ofisi ya DPP kuiba, tena 'computer' zote? Mkurugenzi wa mashtaka au DPP yupi? Ofisi ya DPP inalindwa na ulinzi mzito. Wanaingia na kuondoka vipi na desktop? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!View attachment 1236772View attachment 1236773
Na wewe ulidhani jiwe sio jizi ?Hii inathibitisha serikali hii ni ya mijizi, na CCM ni Chama Cha Mijizi
Watanzania siyo wanyonge. Nyie wanasiasa mnapenda kuwaita watanzania wanyonge ili muendelee kuwapora mali zao.kama serikali inaibiwa namna hii, vipi kuhusu usalama wa mali za wanyonge???
Hii picha imechezwa na "producer" Jiwe mwenyewe na Sterling ndiyo DPP. OVABilioni 100 zinayeyuka hivi hivi na watu wanaingia mitaani. Yale yale ya MoDewji kuokotwa GymKhana
Hivi kuna anaejua waliopata msamaha wa dhambi wamelipa shilingi ngani kwa malipo I ya dhambi zao?"Kuna kitu Jiwe anakificha"
Nakuambia tunaendeshwa na mbwembwe tuu, majukwaani ni "wewe mpumbavu" na majitu yasiyo akili yanashangilia kwa vile wamejengwa na chuki.Hii inathibitisha serikali hii ni ya mijizi, na CCM ni Chama Cha Mijizi