? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!Wanadhani watanzania wote tumezaliwa chatokama serikali inaibiwa namna hii, vipi kuhusu usalama wa mali za wanyonge???
Mnyonge ndio nanikama serikali inaibiwa namna hii, vipi kuhusu usalama wa mali za wanyonge???
Pumbavu kabisa nasikia harufu ya kinyesi jukwaa lote.
Hii haina tofauti na sakata la kushambuliwa Lissu, askari wote eneo hilo hawakuona! Au waliondolewa lindo?Nchi nzito hii. Kwamba mtu anapanga kwenda kwenye ofisi ya DPP kuiba, tena 'computer' zote? Mkurugenzi wa mashtaka au DPP yupi? Ofisi ya DPP inalindwa na ulinzi mzito. Wanaingia na kuondoka vipi na desktop? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!View attachment 1236772View attachment 1236773