Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380



Nina hamu ya kufika Uyole wallahi!
Kah! Mbona mengi sana tena mpaka mengine ni irabu tupu mfano
Mie kwanza naogopa,Unaogopa sindano? Ile sindano nyingine huwa unachomwaje?
Katika umri huo labda uwe na ishu zingine. Sana sana wapeleke wazazi na babu na bibi wakachanjwe kama wangali hai. Hao wapo katika hatari zaidi kuliko wewe tineja!
Vipi kamanda umeshachanja?Nadhani bado kipo kwenye hatua za mwanzo mwanzo za mchakato wa kupitishwa. Mpaka kianze kutumika labda mwaka kesho hukooo....
Chanjo ni muhimu ankaliSiku ya kwanza kutaka kuchanjwa nilichelewa kwendaikapita hiyooo
Jana dr ananipigia vipi nikuletee chanjo? Nikamwambia ndio lakini sipo nyumban nipo mbalii,
Nilivyorudi nikamtafuta akaniambia chanjo zimeishamaana naogopa sindano,