moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,212
Mkuu hapa hakuna ujinga ni burudani tu.SIO KUCHEKESHA, WATU WANARUDIA RUDIA SANA..KESHO UKIINGIA UNAKUTA HII ULIYOPOST HAPA MJINGA MMOJA NAE KAIPOST.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kila mmoja anatafuta ucheshi anatupia.
Ni ngumu kujua kuwa unachotupia hapa kuna memba keshatupia.
Sidhani kama ni tatizo kiasi hicho
,nisije nikatupia tena mjinga mimi




