moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,135
- 770,219
Baharia anatisha

Baharia anatisha




mapenzi ya kuchart kila mda ni ya watoto wa sekondari
.....AnkaliChanjo ni muhimu ankali

Kumbe inawezekanaUmbea sitakiView attachment 1960557
Amechukua dini ya mama
Unakua na mahusiano lkn bae wako hana mpango wa kuanza familia kwa kipind hicho hata km ikinasa hakwambii anakubom anaenda cholopoa atakwambia tumbo linamzingua unamuongezea posho ya matumiz kwa hiyo unashirik bila kujua mpaka shoga yake ajisikie kukwambia ishakula kwakoUfalme wa mbinguni utausikia tu bro![]()
Kwakweli kusingekuwa na huduma ya kucholopoa wengi wangeozea jela.Unakua na mahusiano lkn bae wako hana mpango wa kuanza familia kwa kipind hicho hata km ikinasa hakwambii anakubom anaenda cholopoa atakwambia tumbo linamzingua unamuongezea posho ya matumiz kwa hiyo unashirik bila kujua mpaka shoga yake ajisikie kukwambia ishakula kwako
KweiiIle pesa wangelipa labour huassume kama ndio ungechangia. Sio kwamba hawajui kua umesota, ni vile hawataki kupoteza nguvu kazi.
Hatimaye umenielewaKwakweli kusingekuwa na huduma ya kucholopoa wengi wangeozea jela.
Na pia huduma hiyo ndiyo iliyoongeza idadi ya wahitimu wa kike kwenye vyuo mbalimbali
Vinginevyo wengi wao wangeishia kulea
JIVUNIE ULICHOJAALIWA
NAWASALIMU wenye VITAMBI vyenu!




