Nilichanja Moderna tangu mwezi Mei kamanda. Hakukuwa na jinsi hasa kama mtu unasafiri safiri...
[emoji16][emoji16][emoji16]
Uko wapi?
Ukizaa akikua,watakuambia mlete mdogoake wa kucheza nae,na ukizaa zaidi ya wawili wanakusimanga unazaa zaa kila siku[emoji23]Ukishaolewa swali litageuka...
Utapata mtoto lini? Ali mradi tu wananzengo wakukere [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani hile supu ilikuwa tamu[emoji8],nikawa natapatapa,wakaniuliza vipi pilipili kali[emoji23]...mie nikasema ee naomba maji[emoji23],.......wakaniongezea mchuzi[emoji8]Omba maziwa kama yapo uyatulize mdomoni...na uache kiherehere ukiwa ugenini [emoji16]
Kwa mama hapa,nasubiria kuku itage,niibe yai nikaange...[emoji16]Uko wapi?
Majuto[emoji16]
Hii meme ilipaswa iandikwe, ' vile wanaume hatuna pesa tujionavyo ukikutana na pisi kali'
Si umalizie sindano ya pili huko uliko mkuu?
Ila uyo jamaa muuaji itakuwa[emoji23]Akiwa na wife wake ambaye ndiye mwanamke mfupi zaidi duniani
View attachment 1960423