Meta AI
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,564
- 4,018
Mrembo lakiniMsela ako na shida aki

umejificha ukuSIO KUCHEKESHA, WATU WANARUDIA RUDIA SANA..KESHO UKIINGIA UNAKUTA HII ULIYOPOST HAPA MJINGA MMOJA NAE KAIPOST.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app



"Xi" President of China.
Ufalme wa mbinguni utausikia tu broUnadumu ktk mahusiano na mtoto wa kike zaid ya miaka mitat na kila wiki mnanyanduana zaid ya mara moja na hakuna kesi yoyote unayopewa zaid ya vibom tu


Hakuna mtu aliye na muda wa kupitia post zote na kuanza kuchambua kituko kipi kipi kimepostiwa na kipi bado. Mtu unaona kitu huko kinakufurahisha unakiweka kumbe kuna mwingine ameshakiweka jana, juzi au asubuhi wewe hujakiona. Tatizo liko wapi hapo kamanda mpaka unaita watu wajinga?SIO KUCHEKESHA, WATU WANARUDIA RUDIA SANA..KESHO UKIINGIA UNAKUTA HII ULIYOPOST HAPA MJINGA MMOJA NAE KAIPOST.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ankali wanahamisha nini, umeniacha hapo, funguka
Labda mnalipwaHakuna mtu aliye na muda wa kupitia post zote na kuanza kuchambua kituko kipi kipi kimepostiwa na kipi bado. Mtu unaona kitu huko kinakufurahisha unakiweka kumbe kuna mwingine ameshakiweka jana, juzi au asubuhi wewe hujakiona. Tatizo liko wapi hapo kamanda mpaka unaita watu wajinga?
Tupo hapa kufurahishana tu na kurelax; na mambo siyo siriazi kihivyo bana (at least for me!). Tuvumiliane!

Ankalii wiki imeisha,sijapata feedback

Duka la mpwa wangu hili na mimi ndo niliandika tangazo hili



Watu wako siriazi aisee....itabidi tuwe makini tusirudie picha aisee vinginevyo kibarua kitaota majani.Labda mnalipwa![]()
Ugoro unakuharibiaDuka la mpwa wangu hili na mimi ndo niliandika tangazo hili![]()

Kwakweli,tutarudi kulima nyanya babuWatu wako siriazi aisee....itabidi tuwe makini tusirudie picha aisee vinginevyo kibarua kitaota majani.
