Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Siku ya kwanza kutaka kuchanjwa nilichelewa kwenda[emoji16]ikapita hiyoooKama bado, nenda sasa ukapate chanjo yako View attachment 1960812
Ile pesa wangelipa labour huassume kama ndio ungechangia. Sio kwamba hawajui kua umesota, ni vile hawataki kupoteza nguvu kazi.Nakaaga uan kwenye matukio ya kifamilia ikitokea kuna kazi mabint wanaitegea naipiga mwanzo mwisho wananichukulia km mtu wa kazi kumbe naficha udhaifu wangu wa kutokua na pesa kwenye michango huwa sisumbuliw
Unaogopa sindano? Ile sindano nyingine huwa unachomwaje? [emoji16][emoji16]Siku ya kwanza kutaka kuchanjwa nilichelewa kwenda[emoji16]ikapita hiyooo
Jana dr ananipigia vipi nikuletee chanjo? Nikamwambia ndio lakini sipo nyumban nipo mbalii,
Nilivyorudi nikamtafuta akaniambia chanjo zimeisha[emoji23]maana naogopa sindano,