Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sasa kuna wasio tafuta kwa jasho lao wenyewe.. Msione hivyo wadangaji wanapata tabu, anakutana na mtu kamfungia vumbi la kongo, wengine wanmla kinyeo [emoji1787]

Jasho timutimu[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umenichekesha kishenzi yaan na pia umenkumbsha juzi nlikuwa mtaani na washkaji kuna jamaa akaja kuchukua mkongo kwa jamaa fulani maarufu wa izo mambo aseeee nilimuonea huruma mwanamke anaeenda kukutana nae maan huyo jamaa anavuta ganja Sasa ukijumlisha na vumbi si vita ya 3 hyo anayoenda kuianzisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakula kwa jasho jingi mnoo [emoji23]
 
iPhone 13 loading [emoji2099]
2.6641197142362762E18.jpg
 
Back
Top Bottom