

Daa, mpaka jamaa mwenyewe amechooka
Anaolewa tu bila wasiwasi wo woteKunenepeana kwa huyu mama kunatupa maswali mengi
Hivi mila za kisukuma zinasemaje iwapo anajitokaza mtu anayetaka kumuoa ?
Ushatimua mbio!
Ma first lady wa Marekani wameshawahi kulalamika juu ya mzigo wa kuwa first lady kuwa ni full stress na ni maisha yasiyo na faragha na ya kuchaguliwa mpaka nguo ya kuvaa. Sasa hana huo mzigo na yuko huru. Lakini Wabongo maneno najua yatakuwa mengi. Kwa umri wake hata unene huu siyo mzuri. Pengine yaweza kuwa ni frustrations za ujane pia ila kiafya siyo vizuri. Inabidi waanze kumpigisha mazoezi vinginevyo magonjwa ya unene hayatamwacha salama!Kuhusu hili inalazimika wasukuma kutoa majibu ya kina tena yenye uyakinifu kwa nin mke wa marhum ghafla ananoga baada ya kufiliwa au labda kuna mzaramo anampigisha soga mpaka anasahau machungu ya kufiliwa
Amempata aliyekuwa anamtakaView attachment 1942190
Zinatumikaje best?Vinatumika kwenye mambo yetu yale![]()
Huyu mzee ni nani?