Viongozi wetu wanapenda ku deal na vitu vya vyepesi sana na ni kwa sababu sio wawajibikaji basi hawataki kusemwa wanataka tukae kimya hata kama hayatupendezi, ndio maana kila siku wanahangaika na mitandao.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Watazima Twitter au itakuwaje?
View attachment 1942384
[emoji16],Mimi kumsomesha mtoto wa mtu hata kozi ya wiki,haitokaa itokee.
Mimi kumfundisha mtoto wa mtu kupika,haitokaa itokee.
Bora nijifunze mie,na kwa nini mwanamke asijue kupika!?
Ntakula huko kwa wapemba mpaka kieleweke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine kukatana stimu tu. Labda awe na msambwanda kibibi chake kifichwe na mitikisiko wakati umekazana kumpelekea moto vinginevyo ni hovyo tu kiajuza kimekukodolea jicho wakati unajitahidi kukatenegenezea mjukuu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]View attachment 1942440
Kausha !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa ataishia kufyatuka magoti tu [emoji16][emoji16]Mwanaume hashindwiiiView attachment 1942466
Ushauri wa hovyo kabisa huu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Rear leg or Front leg?