Sawa mawardat.. Je wewe ni mama wardat ama mi wardat imejaa hapo? [emoji23][emoji848]Wadangaji wanaishia kumiliki simu na bguo[emoji16],pesa hawafanyii chochote[emoji16]
Mamaangu ananipa wosia kila siku"mwanamke kujitunza,kujitunza sio kula ugali tu,tunza mwili wako"
[emoji850][emoji1787][emoji1787]Mama kubwa
[emoji663]. SYB
Sikuchukua picha wala namba [emoji16][emoji16]Ulichukua picha? Namba je? Toa connection kama unayo aisee [emoji123]
Dah! Basi si ridhiki yangu. Next time usiniangushe pulizi [emoji16]Sikuchukua picha wala namba [emoji16][emoji16]
[emoji35][emoji34]Utafiti ufanyike pulizi [emoji16]
View attachment 1942026