Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nije kuhakikisha? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mie nilikuta udongo umeisha nikabahatika ya kukalia tu[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Nije kuhakikisha? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mie nilikuta udongo umeisha nikabahatika ya kukalia tu[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwani inakuwaje hasa kuhusu hizo pipi?
Si afadhali hapo Morogoro, unakutana na huo mziki safari ndefu ya Mbeya au Kigoma.Juzi kati safari ya mji kasoro bahari kuna dada alikumbana na hii zahma ilibidi ahame amwachie akae peke yake [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1941900
[emoji16][emoji16][emoji16]kwenye ndege nishawahi kusikia aisee. Kama akiwa bebi wako si balaa hilo maana kama mnasafiri watu watatu vile!Kwenye ndege wanawalazimisha wafanye hivyo. Na wanalipishwa zaidi kwa sababu hata mikanda inabidi waunganishe miwili au mitatu
Kunenepeana kwa huyu mama kunatupa maswali mengi[emoji849][emoji849]Mama yetu amekuwa full jimama yaani. Presha za kuwa first lady ni mzigo mkubwa...Mungu Aendelee kumbariki; na mumewe aendelee kupumzika salama. Qwy pita kimya kimya [emoji16]
View attachment 1942065
Sijui mama akinanihii anafanyaje!?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Mama yetu amekuwa full jimama yaani. Presha za kuwa first lady ni mzigo mkubwa...Mungu Aendelee kumbariki; na mumewe aendelee kupumzika salama. Qwy pita kimya kimya [emoji16]
View attachment 1942065
Yule ni mchungwajiMchungaji anaongezewa maadui..View attachment 1942087
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Nije kuhakikisha? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787]Si afadhali hapo Morogoro, unakutana na huo mziki safari ndefu ya Mbeya au Kigoma.
Mbona utafurahia shoo[emoji23]
Vinatumika kwenye mambo yetu yale[emoji40][emoji41][emoji41]Kwani inakuwaje hasa kuhusu hizo pipi?
Kuhusu hili inalazimika wasukuma kutoa majibu ya kina tena yenye uyakinifu kwa nin mke wa marhum ghafla ananoga baada ya kufiliwa au labda kuna mzaramo anampigisha soga mpaka anasahau machungu ya kufiliwaMama yetu amekuwa full jimama yaani. Presha za kuwa first lady ni mzigo mkubwa...Mungu Aendelee kumbariki; na mumewe aendelee kupumzika salama. Qwy pita kimya kimya [emoji16]
View attachment 1942065