Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbalimbali
FB_IMG_16318796799130253.jpg
 
Ma first lady wa Marekani wameshawahi kulalamika juu ya mzigo wa kuwa first lady kuwa ni full stress na ni maisha yasiyo na faragha na ya kuchaguliwa mpaka nguo ya kuvaa. Sasa hana huo mzigo na yuko huru. Lakini Wabongo maneno najua yatakuwa mengi. Kwa umri wake hata unene huu siyo mzuri. Pengine yaweza kuwa ni frustrations za ujane pia ila kiafya siyo vizuri. Inabidi waanze kumpigisha mazoezi vinginevyo magonjwa ya unene hayatamwacha salama!
Ila kitu cha kushangaza kabla hajapata u first lady hakuwa na huo mwili.
Alikuwa na mwili wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom