Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,434
- 857,727
- Thread starter
- #71,701
Hahahaha[emoji23]Utalia na kusaga meno[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1941524
Hahahaha[emoji23]Utalia na kusaga meno[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1941524
Hapanifai hapoKimya kimya, kama huwezi hamaView attachment 1941517View attachment 1941518
Bwa mdogo ana hatari aisee [emoji23][emoji23]Hzo nywele sasa kama majaninya kiangaz,nyonyo imetobolewa bibi alambe hela hizzzz
Nimeipenda hii
Wenyewe wapo hapa, ohoo [emoji23][emoji849][emoji849]Muwaache[emoji2902][emoji2902]View attachment 1941472
Sasa kuna wasio tafuta kwa jasho lao wenyewe.. Msione hivyo wadangaji wanapata tabu, anakutana na mtu kamfungia vumbi la kongo, wengine wanmla kinyeo [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]ameeenView attachment 1940039
Kwakweli hata wewe pepo utaisikia tu[emoji23]Ujinga tu[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]View attachment 1941476
Mdigo wa Pande[emoji23][emoji23] njoo uoneView attachment 1941546
Am single[emoji41]Kwakweli hata wewe pepo utaisikia tu[emoji23]
Kwani nimebisha mkuu[emoji16][emoji16]Na ni Kiswahili kwani uongo.
Mapigo ya moyo yanakuaga kama hivi, unaweza ukapata hata mshtuko wa moyo ukafa[emoji16][emoji16]Kwakweli[emoji16],niliibiwa simu yangu pale Tazara,sitokuja nisahau
Kipindi hicho zimeingia tu Samsung galaxy loooh!![emoji41]View attachment 1941458
Wasukuma watu poa sana.....nawapenda sana[emoji179]Wenyewe wapo hapa, ohoo [emoji23][emoji849][emoji849]
Ungekuwa unahadithia na hela[emoji16]ungekuwa unapiga hela[emoji41]Hapo namba 13 haijaniacha salama, nilikua mwongo mwongo sana mwenye hadithi za kutunga, sema washkaji walizipenda tu licha ya kujua ni za uwongo, na pia kwenye daftari la wapiga makelele sikua naachwa nyuma.
Weeeeh wacha kabisa,niliishiwa nguvu,nusu nivue nguo niitafute labda imejificha kwenye chupi[emoji23]Mapigo ya moyo yanakuaga kama hivi, unaweza ukapata hata mshtuko wa moyo ukafa[emoji16][emoji16]View attachment 1941581
Mungu ajaalie ukisemacho kiendane na matendo yakoWadangaji wanaishia kumiliki simu na bguo[emoji16],pesa hawafanyii chochote[emoji16]
Mamaangu ananipa wosia kila siku"mwanamke kujitunza,kujitunza sio kula ugali tu,tunza mwili wako"
[emoji120]Mungu ajaalie ukisemacho kiendane na matendo yako