Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,439
- 857,735
- Thread starter
- #71,541
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]View attachment 1940836
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]View attachment 1940836
Dawa hizi hapa tena ziko on sale. Chagua moja nikutumie. Hiyo Allegra mimi ndiyo hutumia. Running nose (mafua), watery eyes, sore throat, coughing inazima mara moja. Na unakunywa kakidonge kamoja tu for 24 hrs. Nitatupiamo na Allegra D kama Allegra ya kawaida itaelemewa.Babu shikamoo
Vumbi,harufu ya mafuta makali,baridi la asubuhi likinipiga tu shida,
Mazingira,hali ya hewa ya huku nilipo si rafiki kwangu,inanitesa
Ukimwi sina[emoji16]
Kila nikiamka napata mchanganyiko wa limao,tangawizi,mdalasini na karafuu nakunywa[emoji28],
Nahitaji dawa [emoji120][emoji120]
Ukiyafuata haya utaishi kwa amani ajabu!Alisikika mtu asiyejulikana akiyasema hayo.View attachment 1940951
Hawajawahi chomwa na mbigiri[emoji23]Hawajui tu[emoji16]View attachment 1940421
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]!Late maziwa,maandazi matamu mpishi mwenyewe[emoji7][emoji7]View attachment 1940411View attachment 1940413View attachment 1940416View attachment 1940417
Mbigili[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]Hawajui tu[emoji16]View attachment 1940421
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Me too[emoji41]View attachment 1940424
Nakupa no,tuma kwa m pesa,Ndio, sasa nitakutumiaje[emoji1]