Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tunapindua meza,dadadeki........
IMG-20210917-WA0010.jpg
 
Yaani wewe umefanya nikukumbuke kila nikiona wadada wamefungasha najisemea tu "vitu apendavyo SHIMBA YA BUYENZE [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088][emoji2088]
Uwe unanipigia picha basi halafu unanirushia jamani? Hata kama ni kwa malipo nipo tayari. Huo ndiyo uraibu wangu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Kama jana nikagongana nalo moja dukani dah! Ikabidi tu yaani nikamsalimie. Shida tupu kwa kweli!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]usijali nitafanya hivo niqe nakutumia
 
Back
Top Bottom