Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

255711377711_status_9ed65ffda85f48a7b4f89135df8d663c.jpg
 
Hiviii hatuwezi kabisa kuishi bila kutegemea ufadhili/misaada nchini?!
Tunawezaje kuvuka hapo na kusimamia vitu vyetu wenyewe,kufanya maamuzi yetu wenyewe nk?!
Akili yangu leo sijui imekula nini?
Any way,usiku mwema wadau,nawapenda sanaa.
kp31012014.jpg
 
Sio 2014 tu bali tokea 2010 ni mwana chama hapa jf, na jukwaa la siasa ndiko ninakoanzia lakini sijawahi ku experience ban, i wish some time lakini sababu unakosekana

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa km ni Member usiyechangia au kuanzisha uzi nani atakupa BAN halafu unasema Jukwaa la siasa bado siamini
ungetoa hata LIKE tungekuona huku, kwani post zako toka 2010 ni 4000 km mimi
angalia hapo Member wasioogopa barabara na traffic
1631044109556.png
 
Milioni 12 [emoji15][emoji15][emoji15]
Bati 100 ni milioni 2,700,000
Tofali 1000 ni 1mil
Zimebaki milioni nane! Kiufupi Milioni 12 unajenga banda la vyumba viwili na sebule, unaezeka unamaliza vizuri ndani na cheji inabaki. Tanzania upigaji hautakwisha!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom