Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

giphy.gif


Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unataka kuniambia tangu mwaka 2014 hujawahi kulimwa ban? Hamia jukwaa la siasa kwa siku mbili tu na ukashiriki kwenye mihemko ya huko halafu uje ulete mrejesho...
Sio 2014 tu bali tokea 2010 ni mwana chama hapa jf, na jukwaa la siasa ndiko ninakoanzia lakini sijawahi ku experience ban, i wish some time lakini sababu unakosekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye na mimi nimebahatisha kasela kamoja hivi halafu kashikaji sana yaani. Kuna raha yake kuwa na mahusiano ya hivi. Yaani mnapiga stori mpaka za kipuuzi kabisa halafu ukifika wakati unakaita tu "Hebu leo uje nikupelekee moto" na kenyewe utakasikia "Napenda sana moto wako mshikaji. Nitakuja msela wangu"...Mpaka nimeanza kunenepa yaani
 
Back
Top Bottom