Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mtateseka sana mwaka huu..Yanga mtateseka mno

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana nimekwambia hearsay, hii haihusiani na utani wa jadi.
JamiiForums-1554618527.jpg
 
Kituko cha mtandaoni huko Guinea. Wanajeshi wamefanya yao. Alpha Condé - kiongozi wa upinzani aliyeingia kwa mbwembwe akijigamba kuleta mabadiliko. Badala yake ikawa ni utopolo tu akaishia kujiongezea mihula ya uongozi kwa kukiuka katiba...

Viongozi wa Afrika kwa kupenda madaraka dah!
Screenshot_20210905-113032_Chrome.jpg

Vijana wamemuweka mtu mzima kati
IMG-20210905-WA0076.jpg

Huyu Colonel ndiyo katwaa madaraka...
IMG-20210905-WA0090.jpg
IMG-20210905-WA0074.jpg
 
Hivi tulikosa nini juzi? Na mimi nilipitiwa na ban. Hatuwezi kuwaroga hawa wagawa ban? Niko tayari kuja kilingeni Msata tufanye yetu kama uko tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wazo mujarabu kabisa, wapigwe kipapai.
Kuwaweka JF lockup two great personalities kwenye janvi hili ni jambo lisilofurahisha kabisa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]. Jiangalie mkuu. Yule mods wa juzi akipita mitaa hii utakuja kushangaa unaliwa kichwa (in Depal's voice)
 
Hivi tulikosa nini juzi? Na mimi nilipitiwa na ban. Hatuwezi kuwaroga hawa wagawa ban? Niko tayari kuja kilingeni Msata tufanye yetu kama uko tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaliyopita si ndwele kaka.. Tusonnge mbele...

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom