Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,303
- 829,356
- Thread starter
- #69,441
Chukua Chako MapemaMilioni 12
Bati 100 ni milioni 2,700,000
Tofali 1000 ni 1mil
Zimebaki milioni nane! Kiufupi Milioni 12 unajenga banda la vyumba viwili na sebule, unaezeka unamaliza vizuri ndani na cheji inabaki. Tanzania upigaji hautakwisha!!
![]()








