Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

JK the diplomat [emoji122][emoji122][emoji122]
IMG-20210816-WA0108.jpg

IMG-20210816-WA0107.jpg


Mshindi na mshindwa
IMG-20210816-WA0101.jpg


Good luck Zambia [emoji1545][emoji1545]
 
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] WANAFANYA UPASUAJI MAHOSPITALINI KURUDISHA BIKRA [emoji15][emoji15][emoji15]

DIRA YA DUNIA – AGOSTI 16, 2021

• Baraza la usalama lakutana kujadili hali ya mambo nchini Afghanstan huku katibu mkuu wa umoja wa mataifa akionya Afghastan isitumike tena kama makaazi ya magaidi...

• Tume ya uchaguzi nchini Zambia imemthibitisha rasmi mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema kuwa mshindi wa kiti cha urais.

• Nchini Tanzania idadi ya wabunge waliojitokeza kwajili ya kupewa chanjo Jijini Dodoma yasemekana kuwa ndogo -

Mamlaka moja ya matibabu nchini Uingereza imeitaka serikali kupiga marufuku upasuaji wa ubikra , huku tukiuliza , Ni kwanini baadhi ya wanawake hutafuta upasuaji wa kurejesha ubikra?

Leo Jumatatu katika Dira ya Dunia , uko nami Anne Ngugi na mwenzangu ni Martha Saranga ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni.
 
Labda aniwahi. Ila bado hatokua salama. Kuna siku nitamkopa na akinipa ndo imeisha hiyo. Labda apotee mazima.

Na sinaga tabia ya kutuma nauli,namfuata mimi,akizingua nitakua nimepeta exposure[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]mda mwengine raha kuletewa mkuu na mambo mengine samehe tu,hutak zidiwa ujanja!!?
 
Back
Top Bottom