Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,779
- 147,021
Anaogopa mende,akiliona hilo dude si atazimia[emoji3064]Unapoenda kuchuma matunda kuwa muangalifuView attachment 1894829
Anaogopa mende,akiliona hilo dude si atazimia[emoji3064]Unapoenda kuchuma matunda kuwa muangalifuView attachment 1894829
Huyu na bangi zina mdrive!!
Wapi nimesema wewe mtumishi ni Mnyaki mshamba? Ukinionyesha natuma laki tatu sasa hivi na ushahidi naweka hapa! [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Kamwambie Eva aje akuchumie. Yeye ndiyo ana uzoefu wa kuchuma matunda baada ya kuona na kuongea na majoka [emoji16][emoji16]Anaogopa mende,akiliona hilo dude si atazimia[emoji3064]View attachment 1894834
Nimeipenda sana hii.
Ukikifa umeamua mwwnyewe[emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Jf huwezi kufa kwa stress kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukimaliza sasa ndo majuto yanaanza hasa kama umefakamia peku peku. Hata plate namba za magari zinaanza kuwa na mauzauza. Mara uone AIDS mara ARVS ali mradi shida tupu [emoji16][emoji16][emoji16]
Siyo kirahisi hivyo Mtumishi. Umejuaje kuwa nilikuwa namaanisha hicho na siyo kile? Unaweza kuthibitisha conclusively (and without any reasonable doubt) kuwa hicho ndiyo nilikuwa namaanisha na si kingine cho chote katika millions and millions of other possible meanings?Wewe si ulimaanisha; wewe mshamba wa kisukuma na mimi mshamba wa kinyaki tunawowana?
Nimeshaku-pm namba ya kutuma muamala, naungoja hapa uuuuuuuuuuuh
Umeona babu,yaani hela kamtumia baby wake,baby kasema hatoweza kujja barakoa haijakauka,5,000 we unaiona ni ndogo? Jana umepigwa 5,000 na Voda imekuuma mpaka basi halafu leo unaidogosha kwa vile siyo yako?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnatuonea sana[emoji38][emoji38][emoji38]
Mkali wa hizi kazi[emoji2088][emoji2088][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza ningejichekesha kidogo,[emoji23][emoji23][emoji23]then niseme"ngoja nitie baraka kidogo"[emoji1787][emoji1787]
Lakini ni mpenzi wako wa kila sikuWeeee!!!!
Unaiona ndogo?
Hata buku 2 aisee narufisha.
Yaani anichune kirahisi hivyo?
Nene gete yaya kabisa kabisa!!!
Mambo yangu hayo,kitengo cha michuzi[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti "Eva"Kamwambie Eva aje akuchumie. Yeye ndiyo ana uzoefu wa kuchuma matunda baada ya kuona na kuongea na majoka [emoji16][emoji16]
(...na mtu anaweza kuwa na fobia ya mende lakini nyoka kwake poa tu)