Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_2040.jpg
 
-Leo ndio mwisho wa usajili kwa timu ambazo zitashiriki mashindano ya kimataifa CAF Champion League na CAF Confederation Cup. mpaka sasa hawa ndio wachezaji wa kimataifa waliomalizana na timu za Simba, Yanga na Azam kwa ajili ya msimu 2021/22.

SIMBA
1-Joash Onyango (Kenya)
2-Pascal Wawa (Ivory Coast)
3-Inonga Baka Varane (DR Congo)
4-Taddeo Lwanga (Uganda)
5-Rally Bwalya (Zambia)
6-Sadio Kanoute (Mali)
7-Pape Ousmane Sakho (Senegal)
8-Peter Banda (Malawi)
9-Dancin Nyoni (Malawi)
10-Benard Morisson (Ghana)
11-Meddie Kagere (Rwanda)
12-Chris Mugalu (DR Congo)

YANGA
1-Djigui Diarra (Mali)
2-Djuma Shaban (DR Congo)
3-Yannick Bangala (DR Congo)
4-Khalid Aucho (Uganda)
5-Mukoko Tonombe (DR Congo)
6-Jesus Moloko (DR Congo)
7-Yacouba Songne (Burkina Faso)
8-Saido Ntibazonkiza (Burundi)
9-Heritier Makambo (DR Congo)
10-Fiston Mayele (DR Congo)

AZAM
1-Mathias Kingonya (Uganda)
2-Nico Wadada (Uganda)
3-Bruce Kangwa (Zimbabwe)
4-Daniel Amoah (Ghana)
5-Paul Katema (Zambia)
6-Charles Zulu (Zambia)
7-Never Tegere (Zimbabwe)
8-Keneth Muguna (Kenya)
9-Rodgers Kola (Zambia)
10-Prince Dube (Zimbabwe)
11-Idris Mbombo (DR Congo

Tusilaumiane......
Yanga wametia fora
 
Mie hapana

Yaani sikatai ukewenza,lakini tuishi wilaya tofauti

Ninaweza nikawa mie ni mstaarabu,lakini mwenzangu ukawa moto wa kifuu
Na kwanini uolewe mke mwenza ilhali mimi hapa u single unanitesa?
Sijalala mpaka muda huu nawaza mapenzi tu.

Ila sina hela. Ndo nazitafuta. Njoo tuunganishe nguvu.

Nipe namba hata pm tu uwe na mume wako peke yako. I promise,hutojutia.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa akibusu miguu ya viongozi waliokuwa wanapingana huko Sudan Kusini na kuwasihi sana wafikie maafikiano ili kuepusha vifo na mateso hasa ya wanawake na watoto wadogo. Waliporudi nyumbani ziliendelea kupigwa japo baadaye maafikiano yalifikiwa mapigano yakapumzika. Na walipohojiwa walisema nafsi zilikuwa zinawasuta hasa wakifikiria jinsi Papa alivyojinyenyekeza na kuwabusu miguu yao kama ishara ya kuwaombea wao na watu wao.
 
Back
Top Bottom