Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16][emoji16]
Na kwako piaKasimu kana kata chaji Wakuu. Niwaage,tutaonana kesho. Mungu awalinde na muwe na usiku mwema.
Mie nakaa na no ya wakala,ikithibitishwa tu naing'oa[emoji23][emoji23][emoji23]mda mwengine raha kuletewa mkuu na mambo mengine samehe tu,hutak zidiwa ujanja!!?
Vitunguu vimeunguaHapa kumewekwa nini, hivyo vyeusi ?
Mie nakaa na no ya wakala,ikithibitishwa tu naing'oa
Sipendi ujinga[emoji23]
Nilisahau babuMarahaba mjukuu. Yale makitu mbona hujaniletea bana? Nimechoka kusubiri
Miss utalii
Oooops !!!
View attachment 1894917
Nilihisi mnadondoshaga machozi Kwny majungu ya chakula[emoji23]Mambo yangu hayo,kitengo cha michuzi[emoji23]
Tunaliaga kabla ya kuanza kupika
Apply hyo engineer uone kama hujarushwa[emoji23]
Picha Bora kwangu hii
[emoji23][emoji23]kisa nn Sasa wakat wote ni wenye status kubwaHahahahaha
Unajua engineers wanawaponda sana wauguzi [emoji23][emoji23]